Ufundishaji wa Mafunzo ya Sheria ya Ununuzi wa Umma kwa Vikundi Maalum Jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la dar es salaam

Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la dar es salaam kwa kushirikiana na PPRA anawatangazia vikundi vya wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee kushiriki mafunzao ya sheria ya ununuzi umma. Mafunzo haya yatatoa uelewa juu ya matumizi ya mfumo wa ununuzi (NeST) na fursa za asilimia thelathini ya bajeti ya ununuzi wa umma kwa makundi maalum.

Mafunzo haya yatafanyika tarehe 19/12/2025 kuanzia saa tatu asubuhi katika ukumbi wa karemjee. Ili uweze kushiriki piga simu kwa waratibu 0712355550 na 0652416017

Elihuruma Mabelya
Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam

Random Products

Scroll to Top